Posts

Showing posts from October, 2021

Athari za sherehe za kitamaduni.

Na, Benjamin Mutiso Japokuwa sherehe za kitamaduni kama vile mashujaa ni sherehe zinazowaunganisha wakenya pamoja, pia zinaathari Si haba. Kwa mfano katika kaunti ya kirinyaga ambapo sherehe za mashujaa zinafanyika, wananchi kakatika kaunti hio waililia serikali iwasabazie mipira ya kondomu kwa wingi. Hii ni dhairi shairi kwamba katika shughuli kama hizo zinazowakutanisha watu wengi pomoja baadhi ya vijana huona shughuli hio ikiwa nafasi sawa ya kufanya usherati.  Benjamin Mutiso, Chuo kikuu cha Rongo